iqna

IQNA

Diplomasia
IQNA-Rais Seyed Ebrahim Raisi wa Iran amesisitiza kuwa, bara la Afrika lina nafasi muhimu katika sera za kigeni za serikali ya Iran na kuongeza kuwa: "Uhusiano na Afrika kwa ujumla na hasa nchi za Kiislamu barani Afrika una nafasi maalum sana katika sera zetu za kigeni."
Habari ID: 3478439    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02

Iran na Afrika
TEHRAN(IQNA)-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
Habari ID: 3475680    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Iran na Afrika
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko safarini Bamako mji mkuu wa Mali ameipongeza nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kwa juhudi zake kubwa za kupambana na makundi ya kigaidi.
Habari ID: 3475671    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24